Editor choice

Simu Zenye Kamera Nzuri (2021), Simu Zinazopiga Picha Vizuri

Ni wazi kuwa kila mtu hupenda kununua simu kutokana na mahitaji yake, watu wengine upenda kununua simu kwa kuangalia simu za bei rahisi, watu wengine huangalia zaidi sifa za ndani, na watu wengine upendelea simu zenye kamera nzuri au simu zinazopiga picha vizuri.

Kuliona hilo kupitia makala hii nimekuandalia list ya simu zenye kamera nzuri au unaweza kusema simu zinazopiga picha vizuri kwa sasa (2021). Kumbuka simu hizi zote zinapatikana kwenye masoko mbalimbali na ni vyema kujua kuwa list hii inaweza kubadilika muda wowote pale simu mpya yenye kamera bora zaidi inapo zinduliwa ndani ya mwaka huu 2021.

Baada ya kusema hayo basi moja kwa moja twende kwenye list hii, kumbuka unaweza kuona sifa kamili na bei ya simu husika kwa kubofya sehemu ya soma zaidi kwenye kila simu.

Samsung Galaxy S21 Ultra 5G

Simu Zenye Kamera Nzuri (2021), Simu Zinazopiga Picha Vizuri
TZS 2,800,000
Version: Galaxy S21 Ultra 5G
Brand: Samsung
Category: Simu Mpya
Compare
 • CPU: Exynos 2100 (International), Qualcomm Snapdragon 888
 • RAM: 12/16 GB
 • Storage: 128/256/512 GB
 • Display: Dynamic AMOLED, 6.8 inches
 • Camera: Quad 108 MP, 10 MP, 10 MP, 12 MP
 • OS: Android 11

Soma Zaidi Hapa

Huawei P40 Pro Plus

Simu Zenye Kamera Nzuri (2021), Simu Zinazopiga Picha Vizuri
TZS 3,600,000
Version: Huawei P40 Pro+
Brand: Huawei
Category: Simu Mpya
Compare
 • CPU: Octa-core (2x2.86 GHz Cortex-A76 & 2x2.36 GHz Cortex-A76 & 4x1.95 GHz Cortex-A55)
 • RAM: 8 GB
 • Storage: 512 GB
 • Display: OLED, 6.58 inches
 • Camera: Quint 50 MP, 8 MP, 8 MP, 40 MP, TOF 3D
 • OS: Android 10.0

Soma Zaidi Hapa

Apple iPhone 12 Pro Max

Simu Zenye Kamera Nzuri (2021), Simu Zinazopiga Picha Vizuri
TZS 2,650,000
Version: iPhone 12 Pro Max
Brand: Apple
Category: Simu Mpya
Compare
 • CPU: Hexa-core
 • RAM: 3 GB (Expected)
 • Storage: 128GB/256GB/512GB
 • Display: OLED, 6.7 inches
 • Camera: Quad 12 MP, 12 MP, 12 MP, TOF 3D
 • OS: iOS 14

Soma Zaidi Hapa

Apple iPhone 12 Pro

Simu Zenye Kamera Nzuri (2021), Simu Zinazopiga Picha Vizuri
TZS 2,370,000
Version: iPhone 12 Pro
Brand: Apple
Category: Simu Mpya
Compare
 • CPU: Hexa-core
 • RAM: 3 GB (Expected)
 • Storage: 128GB/256GB/512GB
 • Display: OLED, 6.1 inches
 • Camera: Quad 12 MP, 12 MP, 12 MP, TOF 3D
 • OS: iOS 14

Soma Zaidi Hapa

Samsung Galaxy Note 20 Ultra 5G

Simu Zenye Kamera Nzuri (2021), Simu Zinazopiga Picha Vizuri
TZS 3,400,000
Version: Galaxy Note 20 Ultra 5G
Brand: Samsung
Category: Simu Mpya
Compare
 • CPU: Octa-core (2x2.73 GHz Mongoose M5 & 2x2.50 GHz Cortex-A76 & 4x2.0 GHz Cortex-A55) - Global
 • RAM: 12 GB
 • Storage: 128/256/512 GB
 • Display: Dynamic AMOLED X2, 6.9 inches
 • Camera: Triple 108 MP, 12 MP, 12 MP
 • OS: Android 10

Soma Zaidi Hapa

Apple iPhone 12

Simu Zenye Kamera Nzuri (2021), Simu Zinazopiga Picha Vizuri
TZS 1,900,000
Version: iPhone 12
Brand: Apple
Category: Simu Mpya
Compare
 • CPU: Hexa-core
 • RAM: 3 GB (Expected)
 • Storage: 64GB/128GB/256GB
 • Display: OLED, 6.1 inches
 • Camera: Dual 12 MP, 12 MP
 • OS: iOS 14

Soma Zaidi Hapa

Google Pixel 5

Simu Zenye Kamera Nzuri (2021), Simu Zinazopiga Picha Vizuri
TZS 1,760,000
Version: Google Pixel 5
Brand: Google
Category: Simu Mpya
Compare
 • CPU: Octa-core (1x2.4 GHz Kryo 475 Prime & 1x2.2 GHz Kryo 475 Gold & 6x1.8 GHz Kryo 475 Silver)
 • RAM: 8 GB
 • Storage: 128 GB
 • Display: OLED, 6.0 inches
 • Camera: Dual 12.2 MP, 16 MP
 • OS: Android 10

Soma Zaidi Hapa

Google Pixel 4a

Simu Zenye Kamera Nzuri (2021), Simu Zinazopiga Picha Vizuri
TZS 980,000
Version: Pixel 4a
Brand: Google
Category: Simu Mpya
Compare
 • CPU: Octa-core (2x2.2 GHz Kryo 470 Gold & 6x1.8 GHz Kryo 470 Silver)
 • RAM: 6 GB
 • Storage: 128 GB
 • Display: OLED, 5.81 inches
 • Camera: 12.2 MP
 • OS: Android 10.0

Soma Zaidi Hapa

Huawei P40 Pro

Simu Zenye Kamera Nzuri (2021), Simu Zinazopiga Picha Vizuri
TZS 2,600,000
Version: Huawei P40 Pro
Brand: Huawei
Category: Simu Mpya
Compare
 • CPU: Octa-core (2x2.86 GHz Cortex-A76 & 2x2.36 GHz Cortex-A76 & 4x1.95 GHz Cortex-A55)
 • RAM: 8 GB
 • Storage: 256 GB
 • Display: OLED, 6.58 inches
 • Camera: Quad 50 MP, 18 MP, 8 MP, TOF 3D
 • OS: Android 10.0

Soma Zaidi Hapa

Samsung Galaxy S21 Plus 5G

Simu Zenye Kamera Nzuri (2021), Simu Zinazopiga Picha Vizuri
TZS 2,350,000
Version: Galaxy S21 Plus 5G
Brand: Samsung
Category: Simu Mpya
Compare
 • CPU: Octa-core (1x2.9 GHz Cortex-X1 & 3x2.80 GHz Cortex-A78 & 4x2.2 GHz Cortex-A55) - International
 • RAM: 8 GB
 • Storage: 128/256 GB
 • Display: Dynamic AMOLED, 6.7 inches
 • Camera: Triple 12 MP, 64 MP, 12 MP
 • OS: Android 11

Soma Zaidi Hapa

Samsung Galaxy S21 5G

Simu Zenye Kamera Nzuri (2021), Simu Zinazopiga Picha Vizuri
TZS 1,870,000
Version: Galaxy S21 5G
Brand: Samsung
Category: Simu Mpya
Compare
 • CPU: Exynos 2100 - International, Qualcomm Snapdragon 888
 • RAM: 8/12 GB
 • Storage: 128/256 GB
 • Display: Dynamic AMOLED, 6.3 inches
 • Camera: Triple 12 MP, 64 MP, 12 MP
 • OS: Android 11

Soma Zaidi Hapa

OnePlus 8 Pro

Simu Zenye Kamera Nzuri (2021), Simu Zinazopiga Picha Vizuri
TZS 2,300,000
Version: OnePlus 8 Pro
Brand: OnePlus
Category: Simu Mpya
Compare
 • CPU: Octa-core (1x2.84 GHz Kryo 585 & 3x2.42 GHz Kryo 585 & 4x1.8 GHz Kryo 585)
 • RAM: 8/12 GB
 • Storage: 128/256 GB
 • Display: Fluid AMOLED, 6.78 inches
 • Camera: Quad 48 MP, 8 MP, 48 MP, 5 MP
 • OS: Android 10.0

Soma Zaidi Hapa

List inaendelea..

Na hizo ndio baadhi ya simu ambazo zinatambulika duniani kama simu zenye kamera nzuri sana au simu zinazopiga picha vizuri kwa sasa. Kumbuka list hii inaweza kuongezeka muda wowote. Kama unataka kujua zaidi unaweza kusoma hapa kujua simu zenye uwezo wa kudumu na chaji zaidi kwa sasa mwaka 2021.

 

>
Tanzania Tech
Logo