Best value

Hizi Hapa Simu za Samsung za Bei Rahisi (2021)

Kama wewe ni mpenzi wa simu za Samsung na umekuwa unatafuta simu za bei rahisi au nafuu za Samsung basi unasoma makala sahihi, kupitia makala hii nime kuwekea list ya simu za Samsung za bei rahisi ambazo unaweza kununua kwa sasa. Simu hizi kwa sasa tayari zinapatikana kwenye maduka mbalimbali hapa Tanzania hivyo unaweza kuzipata kwa urahisi.

Kumbuka, bei za simu hizi inaweza kubadilika kulingana na eneo unalo nunua simu husika, hivyo kumbuka hatuwezi kukuhakikishia kuwa utapata simu hizi kwa bei iliyotajwa kwenye list hii.

Samsung Galaxy M01 Core

Hizi Hapa Simu za Samsung za Bei Rahisi (2021)
TZS 250,000
Version: Galaxy M01 Core
Brand: Samsung
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Quad-core 1.5 GHz Cortex-A53
 • RAM: 1/2 GB
 • Storage: 16/32 GB
 • Display: PLS TFT, 5.3 inches
 • Camera: 8 MP
 • OS: Android 10 (Go Edition)

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

5.3 2.7 119
 • Muundo 5 / 10
 • Kamera 5 / 10
 • Uwezo 5 / 10
 • Chaji 6 / 10

Soma Zaidi Hapa

Samsung Galaxy M01s

Hizi Hapa Simu za Samsung za Bei Rahisi (2021)
TZS 350,000
Version: Galaxy M01s
Brand: Samsung
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (4x1.95 GHz Cortex-A53 & 4x1.45 GHz Cortex A53)
 • RAM: 3 GB
 • Storage: 32 GB
 • Display: PLS TFT, 6.2 inches
 • Camera: Dual 13 MP, 2 MP
 • OS: Android 10.0

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.3 3.2 119
 • Muundo 6 / 10
 • Kamera 6 / 10
 • Uwezo 6 / 10
 • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Samsung Galaxy M01

Hizi Hapa Simu za Samsung za Bei Rahisi (2021)
TZS 320,000
Version: Galaxy M01
Brand: Samsung
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (4x1.95 GHz Cortex-A53 & 4x1.45 GHz Cortex A53)
 • RAM: 3 GB
 • Storage: 32 GB
 • Display: PLS TFT, 5.71 inches
 • Camera: Dual 13 MP, 2 MP
 • OS: Android 10.0

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.3 3.2 119
 • Muundo 6 / 10
 • Kamera 6 / 10
 • Uwezo 6 / 10
 • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Samsung Galaxy J2 Core (2020)

Hizi Hapa Simu za Samsung za Bei Rahisi (2021)
TZS 210,000
Version: Galaxy J2 Core (2020)
Brand: Samsung
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Quad-core 1.4 GHz Cortex-A53
 • RAM: 1 GB
 • Storage: 16 GB
 • Display: PLS TFT, 5.0 inches
 • Camera: 8 MP
 • OS: Android 8.1 Oreo (Go edition)

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

5.3 2.7 119
 • Muundo 5 / 10
 • Kamera 5 / 10
 • Uwezo 5 / 10
 • Chaji 6 / 10

Soma Zaidi Hapa

Samsung Galaxy A11

Hizi Hapa Simu za Samsung za Bei Rahisi (2021)
TZS 350,000
Version: Galaxy A11
Brand: Samsung
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core 1.8 GHz
 • RAM: 2/3 GB
 • Storage: 32 GB
 • Display: TFT, 6.4 inches
 • Camera: Triple 13 MP, 5 MP, 2 MP
 • OS: Android 10.0

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.3 3.2 119
 • Muundo 6 / 10
 • Kamera 6 / 10
 • Uwezo 6 / 10
 • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Samsung Galaxy A01

Hizi Hapa Simu za Samsung za Bei Rahisi (2021)
TZS 282,000
Version: Galaxy A01
Brand: Samsung
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (4x1.95 GHz Cortex-A53 & 4x1.45 GHz Cortex A53)
 • RAM: 2 GB
 • Storage: 16 GB
 • Display: PLS TFT, 5.7 inches
 • Camera: Dual 13 MP, 2 MP
 • OS: Android 10.0

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.3 3.2 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 6 / 10
 • Uwezo 6 / 10
 • Chaji 6 / 10

Soma Zaidi Hapa

Samsung Galaxy M10s

Hizi Hapa Simu za Samsung za Bei Rahisi (2021)
TZS 350,000
Version: Galaxy M10s
Brand: Samsung
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (2x1.8 GHz Cortex-A73 & 6x1.6 GHz Cortex-A53)
 • RAM: 3 GB
 • Storage: 32 GB
 • Display: Super AMOLED, 6.4 inches
 • Camera: Dual 13 MP, 5 MP
 • OS: Android 9.0 (Pie)

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.8 3.4 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 6 / 10
 • Uwezo 7 / 10
 • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Samsung Galaxy A10s

Hizi Hapa Simu za Samsung za Bei Rahisi (2021)
TZS 400,000
Version: Galaxy A10s
Brand: Samsung
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core 2.0 GHz Cortex-A53
 • RAM: 2 GB
 • Storage: 32 GB
 • Display: IPS LCD, 6.2 inches
 • Camera: Dual 13MP, 2MP
 • OS: Android 9.0 (Pie)

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.5 3.3 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 6 / 10
 • Uwezo 5 / 10
 • Chaji 8 / 10

Soma Zaidi Hapa

Samsung Galaxy A2 Core

Hizi Hapa Simu za Samsung za Bei Rahisi (2021)
TZS 190,000
Version: Galaxy A2 Core
Brand: Samsung
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core 1.6 GHz Cortex-A53
 • RAM: 1 GB
 • Storage: 8 GB
 • Display: IPS LCD, 5.0 inches
 • Camera: 8 MP
 • OS: Android 8.1 Oreo (Go edition)

Soma Zaidi Hapa

Samsung Galaxy A10

Hizi Hapa Simu za Samsung za Bei Rahisi (2021)
TZS 350,000
Version: Galaxy A10
Brand: Samsung
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core 1.6 GHz
 • RAM: 3 GB
 • Storage: 32 GB
 • Display: IPS LCD, 6.2 inches
 • Camera: 13 MP
 • OS: Android 9.0 (Pie)

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.2 3.1 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 6 / 10
 • Uwezo 6 / 10
 • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Na hizo ndio simu za bei nafuu za Samsung kwa sasa, kumbuka list hii inaendelea kuongezwa pale simu mpya ya bei nafuu inapozinduliwa endelea kutembelea ukurasa huu kujua simu nyingine za bei nafuu kutoka Samsung. Kama unataka kujua zaidi unaweza kusoma hapa kujua list ya simu bora za Samsung 2020 – 2021. Kwa habari zaidi kuhusu simu, laptop, TV na mambo mengine mengi endelea kutembelea Tanzania tech.

>
Tanzania Tech
Logo