Nokia ni moja kati ya kampuni za siku nyingi kwa utengenezaji wa simu, siku hizi simu zote za Nokia zinatoka chini ya kampuni ya HMD Global ambayo ndio inasimamia biashara ya simu kwa kampuni ya Nokia. Mwaka 2020 kampuni ya Nokia imezindua simu mbalimbali za bei nafuu ambazo pia zipo kwenye list hii ya simu za bei rahisi za Nokia.
Kupitia list hii utaweza kupata simu za bei rahisi za Nokia na ambazo zina sifa bora kulingana na bei yake. Kama unataka kujua zaidi kuhusu sifa pamoja na bei ya simu hizi unaweza kubofya kitufe cha Soma zaidi kinachopatikana kila baada ya sifa za simu huzika. Basi baada ya kusema hayo moja kwa moja twende tuka angalie list hii.
YALIYOMO
Nokia C1 Plus



-
CPU: Quad Core 1.4GHz
-
RAM: 1 GB
-
Storage: 16 GB
-
Display: IPS LCD, 5.45 inches
-
Camera: 5 MP
-
OS: Android 10 (Go Edition)
Nokia 2.4


-
CPU: Octa-core 2.0 GHz Cortex-A53
-
RAM: 2/3 GB
-
Storage: 32/64 GB
-
Display: IPS LCD, 6.5 inches
-
Camera: Dual 8 MP, 2 MP
-
OS: Android 10
Nokia C3



-
CPU: Octa-core (4x1.6 GHz Cortex-A55 & 4x1.2 GHz Cortex-A55)
-
RAM: 3 GB
-
Storage: 32 GB
-
Display: IPS LCD, 5.99 inches
-
Camera: 8 MP
-
OS: Android 10.0
Nokia 1.3



-
CPU: Quad-core 1.4 GHz
-
RAM: 1 GB
-
Storage: 16 GB
-
Display: IPS LCD, 5.71 inches
-
Camera: 8 MP
-
OS: Android 10 (Go edition)
Nokia C1



-
CPU: Quad-core 1.3 GHz
-
RAM: 1 GB
-
Storage: 16 GB
-
Display: IPS LCD, 5.45 inches
-
Camera: 5 MP
-
OS: Android 9.0 Pie (Go edition)
Nokia 2.3



-
CPU: Quad-core 2.0 GHz Cortex-A53
-
RAM: 2 GB
-
Storage: 32 GB
-
Display: IPS LCD, 6.2 inches
-
Camera: Dual 13 MP, 2 MP
-
OS: Android 9.0 (Pie)
Nokia 2.2


-
CPU: Quad-core 2.0 GHz Cortex-A53
-
RAM: 3 GB
-
Storage: 32 GB
-
Display: IPS LCD, 5.7 inches
-
Camera: 13 MP
-
OS: Android 9.0 (Pie)
Nokia 1 Plus


-
CPU: Quad-core 1.5 GHz Cortex-A53
-
RAM: 1 GB
-
Storage: 8/16 GB
-
Display: IPS LCD, 5.45 inches
-
Camera: 8 MP
-
OS: Android 9.0 Pie (Go edition)
Nokia 2


-
CPU: Quad-core 1.3 GHz Cortex-A7
-
RAM: 1 GB
-
Storage: 8 GB
-
Display: LTPS IPS LCD, 5.0 inches
-
Camera: 8 MP
-
OS: Android 7.1.1 (Nougat)
Nokia 1


-
CPU: Quad-core 1.1 GHz Cortex-A53
-
RAM: 1 GB
-
Storage: 8 GB
-
Display: IPS LCD, 4.5 inches
-
Camera: 5 MP
-
OS: Android 8.1 Oreo (Go edition)
Na hizo ndio simu za Nokia za bei rahisi unazoweza kununua kwa sasa, kumbuka list hii inaweza kuongezwa muda wowote hivyo endelea kutembelea ukurasa huu kujua simu nyingine mpya za Nokia za bei rahisi. Kama unataka kujua zaidi kuhusu simu nyingine za bei rahisi unaweza kusoma hapa kujua simu za bei rahisi za Samsung unazoweza kununua kwa sasa.
Kwa habari zaidi kuhusu sifa pamoja na bei simu mpya unaweza kuendelea kutembelea tovuti ya Tanzania tech kila siku. Pia hakikisha unapakua app ya Tanzania tech kupitia soko la Play Store.