Best seller

Simu Nzuri za Infinix Hot Series (2021)

Kampuni ya Infinix ni moja kati ya kampuni za utengenezaji wa simu ambazo zinaongoza kwa uuzaji wa simu za bei nafuu, kwa muda sasa kampuni ya Infinix imekuwa ikizindua matoleo ya simu za Infinix Hot, matoleo ambayo huangalia zaidi ubora wa simu kwa ujumla hasa kamera na battery.

Kupitia makala hii nitakuonyesha simu bora za Infinix Hot ambazo unaweza kununua kwa sasa hapa Tanzania. Kumbuka kuwa simu hizi zote kwa sasa zinapatikana hapa Tanzania na bei za simu hizi zinatofautinana kulingana na sehemu uliyo nunulia simu hiyo.

Kwa sasa matoleo ya Infinix Hot S ni matoleo ambayo yanatajwa kuwa na kamera nzuri za Selfie, hivyo kama wewe ni mpenzi wa kupiga picha za Selfie basi ni vyema kuangalia zaidi matoleo ya Hot S kwenye makala hii. Basi baada ya kusema hayo moja kwa moja twende kwenye makala hii.

Infinix Hot 10t

Simu Nzuri za Infinix Hot Series (2021)
TZS 410,000
Version: Infinix Hot 10T
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
  • CPU: Octa-core (2x2.0 GHz Cortex-A75 & 6x1.7 GHz Cortex-A55)
  • RAM: 4 GB
  • Storage: 64/128 GB
  • Display: IPS LCD, 6.82 inches
  • Camera: Dual 48 MP, 2 MP
  • OS: Android 11

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.8 3.4 119
  • Muundo 7 / 10
  • Kamera 6 / 10
  • Uwezo 7 / 10
  • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Hot 10s NFC

Simu Nzuri za Infinix Hot Series (2021)
TZS 310,000
Version: Infinix Hot 10s NFC
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
  • CPU: Octa-core (2x2.0 GHz Cortex-A75 & 6x1.8 GHz Cortex-A55)
  • RAM: 4 GB
  • Storage: 64/128 GB
  • Display: IPS LCD, 6.82 inches
  • Camera: Triple 48 MP, 2 MP, 2 MP
  • OS: Android 11

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.8 3.4 119
  • Muundo 7 / 10
  • Kamera 6 / 10
  • Uwezo 7 / 10
  • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Hot 10s

Simu Nzuri za Infinix Hot Series (2021)
TZS 320,000
Version: Infinix Hot 10S
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
  • CPU: Octa-core (2x2.0 GHz Cortex-A75 & 6x1.8 GHz Cortex-A55)
  • RAM: 4/6 GB
  • Storage: 64/128 GB
  • Display: IPS LCD, 6.82 inches
  • Camera: Triple 48 MP, 2 MP, 2 MP
  • OS: Android 11

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.8 3.4 119
  • Muundo 7 / 10
  • Kamera 6 / 10
  • Uwezo 7 / 10
  • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Hot 10 Play

Simu Nzuri za Infinix Hot Series (2021)
TZS 340,000
Version: Hot 10 Play
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
  • CPU: Octa-core 2.3 GHz Cortex-A53
  • RAM: 2 GB
  • Storage: 32 GB
  • Display: IPS LCD, 6.82 inches
  • Camera: Dual 13 MP, 0.3 MP
  • OS: Android 10 (Go Edition)

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.5 3.3 119
  • Muundo 7 / 10
  • Kamera 6 / 10
  • Uwezo 6 / 10
  • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Hot 10

Simu Nzuri za Infinix Hot Series (2021)
TZS 350,000
Version: Hot 10
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
  • CPU: Octa-core (2x2.0 GHz Cortex-A75 & 6x1.7 GHz Cortex-A55)
  • RAM: 3/4/6 GB
  • Storage: 64/128 GB
  • Display: IPS LCD, 6.78 inches
  • Camera: Quad 16 MP, 2 MP, 2 MP, QVGA
  • OS: Android 10

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.5 3.3 119
  • Muundo 7 / 10
  • Kamera 6 / 10
  • Uwezo 6 / 10
  • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Hot 9 Play

Simu Nzuri za Infinix Hot Series (2021)
TZS 390,000
Version: Infinix Hot 9 Play
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
  • CPU: Octa-core (4x1.8 GHz Cortex-A53 & 4x1.5 GHz Cortex-A53)
  • RAM: 3/4 GB
  • Storage: 32/64 GB
  • Display: IPS LCD, 6.82 inches
  • Camera: Dual 13 MP, QVGA
  • OS: Android 10.0

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.5 3.3 119
  • Muundo 6 / 10
  • Kamera 6 / 10
  • Uwezo 6 / 10
  • Chaji 8 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Hot 9 Pro

Simu Nzuri za Infinix Hot Series (2021)
TZS 390,000
Version: Infinix Hot 9 Pro
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
  • CPU: Octa-core 2.0 GHz Cortex-A53
  • RAM: 4 GB
  • Storage: 64 GB
  • Display: IPS LCD, 6.6 inches
  • Camera: Quad 48 MP, 2 MP, 2 MP, 0.3 MP
  • OS: Android 10.0

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

7.3 3.7 119
  • Muundo 7 / 10
  • Kamera 7 / 10
  • Uwezo 7 / 10
  • Chaji 8 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Hot 9

Simu Nzuri za Infinix Hot Series (2021)
TZS 370,000
Version: Infinix Hot 9
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
  • CPU: Octa-core (4x1.8 GHz Cortex-A53 & 4x1.4 GHz Cortex-A53)
  • RAM: 3/4 GB
  • Storage: 64/128 GB
  • Display: IPS LCD, 6.6 inches
  • Camera: Quad 16 MP, 2 MP, 2 MP, 0.3 MP
  • OS: Android 10.0

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

7.0 3.5 119
  • Muundo 7 / 10
  • Kamera 7 / 10
  • Uwezo 6 / 10
  • Chaji 8 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Hot 8 Lite

Simu Nzuri za Infinix Hot Series (2021)
TZS 270,000
Version: Infinix Hot 8 lite
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
  • CPU: Quad-core 1.3 GHz
  • RAM: 1 GB
  • Storage: 32 GB
  • Display: IPS LCD 6.6 Inch
  • Camera: Dual 8 MP, QVGA
  • OS: Android 8.1 Oreo (Go edition)

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.0 3.0 119
  • Muundo 7 / 10
  • Kamera 5 / 10
  • Uwezo 5 / 10
  • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Hot 8

Simu Nzuri za Infinix Hot Series (2021)
TZS 370,000
Version: Infinix Hot 8
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
  • CPU: Octa-core 2.0 GHz
  • RAM: 4 GB
  • Storage: 64 GB
  • Display: IPS LCD 6.5 Inch
  • Camera: Triple 13 MP, 2 MP, 2MP
  • OS: Android 9.0 (Pie)

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.8 3.4 119
  • Muundo 7 / 10
  • Kamera 7 / 10
  • Uwezo 6 / 10
  • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Hot S4 Pro

Simu Nzuri za Infinix Hot Series (2021)
TZS 450,000
Version: Hot S4 Pro
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
  • CPU: Quad-core 2.2 GHz Cortex-A53
  • RAM: 6 GB
  • Storage: 64 GB
  • Display: IPS LCD, 6.22 inches
  • Camera: Triple 13 MP, 8 MP, 2 MP
  • OS: Android 9.0 (Pie)

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.5 3.3 119
  • Muundo 7 / 10
  • Kamera 7 / 10
  • Uwezo 6 / 10
  • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Hot S4

Simu Nzuri za Infinix Hot Series (2021)
TZS 370,000
Version: Hot S4
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
  • CPU: Quad-core 2.2 GHz Cortex-A53
  • RAM: 3 GB
  • Storage: 32 GB
  • Display: IPS LCD, 6.22 inches
  • Camera: Triple 13 MP, 8 MP, 2 MP
  • OS: Android 9.0 (Pie)

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.4 3.2 119
  • Muundo 7 / 10
  • Kamera 7 / 10
  • Uwezo 6 / 10
  • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Hot 7

Simu Nzuri za Infinix Hot Series (2021)
TZS 350,000
Version: Infinix Hot 7
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
  • CPU: Quad-core 1.3 GHz Cortex-A7 (32nm)
  • RAM: 1/2 GB
  • Storage: 32 GB
  • Display: IPS LCD 6.2 Inch
  • Camera: 13 MP
  • OS: Android 8.1 (Oreo)

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.0 3.0 119
  • Muundo 7 / 10
  • Kamera 6 / 10
  • Uwezo 5 / 10
  • Chaji 6 / 10

Soma Zaidi Hapa

Kwa sasa hizi ndio simu nzuri za Infinix Hot Series, kumbuka kuwa simu hizi zinaendelea kuzinduliwa na list hii itaendelea kuongezwa pale kampuni ya Infinix mobile itakapo zindua simu nyingine za Hot Series. Kama wewe ni mpenzi zaidi wa simu za Infinix unaweza kusoma hapa kujua simu nzuri za Infinix ambazo unaweza kununua kwa sasa.

>
Tanzania Tech
Logo