Editor choice
Top 10

Simu Nzuri za Infinix Unazoweza Kununua kwa Sasa

Kampuni ya Inifnix ni moja kati ya kampuni zinazo tengeneza simu bora na za bei nafuu barani Afrika. Kama wewe ni mtumiaji au unataka kununua simu ya Infinix basi kupitia makala hii nimekuandalia simu bora za Infinix ambazo unaweza kununua kwa sasa.

Kumbuka simu hizi ni bora kulingana na matumizi mbalimbali, hivyo ni vyema kuangalia matumizi yako ili kujua ni simu gani ambayo inaweza kufaa kwako binafsi. Pia unaweza kusoma kipengele cha maoni yetu ili kuweza kujua ubora wa simu hizi za Infinix kulingana na maoni yetu.

Basi bila kuendelea kupoteza muda zaidi moja kwa moja twende kwenye list hii ya simu nzuri za infinix ambazo unaweza kununua kwa sasa hapa nchini Tanzania.

Infinix Note 8

Simu Nzuri za Infinix Unazoweza Kununua kwa Sasa
TZS 570,000
Version: Infinix Note 8
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (2x2.0 GHz Cortex-A75 & 6x1.8 GHz Cortex-A55)
 • RAM: 6 GB
 • Storage: 128 GB
 • Display: IPS LCD, 6.95 inches
 • Camera: Quad 64 MP, 2 MP, 2 MP, 2 MP
 • OS: Android 10

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

7.0 3.5 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 7 / 10
 • Uwezo 7 / 10
 • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Note 8i

Simu Nzuri za Infinix Unazoweza Kununua kwa Sasa
TZS 450,000
Version: Infinix Note 8i
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (2x2.0 GHz Cortex-A75 & 6x1.8 GHz Cortex-A55)
 • RAM: 6 GB
 • Storage: 128 GB
 • Display: IPS LCD, 6.78 inches
 • Camera: Quad 48 MP, 2 MP, 2 MP, 2 MP
 • OS: Android 10

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

7.0 3.5 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 7 / 10
 • Uwezo 7 / 10
 • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Zero 8

Simu Nzuri za Infinix Unazoweza Kununua kwa Sasa
TZS 560,000
Version: Infinix Zero 8 (Indonesia)
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-Core 2x 2.05GHz Cortex-A76 & 6x 2.0GHz Cortex-A55
 • RAM: 8 GB
 • Storage: 128 GB
 • Display: IPS LCD, 6.85 inches
 • Camera: Quad 64 MP, 8 MP, 2 MP, 2 MP
 • OS: Android 10

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

7.0 3.5 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 7 / 10
 • Uwezo 7 / 10
 • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Zero 8i

Simu Nzuri za Infinix Unazoweza Kununua kwa Sasa
TZS 500,000
Version: Infinix Zero 8i
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-Core 2x 2.05GHz Cortex-A76 & 6x 2.0GHz Cortex-A55
 • RAM: 8 GB
 • Storage: 128 GB
 • Display: IPS LCD, 6.85 inches
 • Camera: Quad 48 MP, 8 MP, 2 MP, 2 MP
 • OS: Android 10

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

7.0 3.5 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 7 / 10
 • Uwezo 7 / 10
 • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Hot 10

Simu Nzuri za Infinix Unazoweza Kununua kwa Sasa
TZS 350,000
Version: Hot 10
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (2x2.0 GHz Cortex-A75 & 6x1.7 GHz Cortex-A55)
 • RAM: 3/4/6 GB
 • Storage: 64/128 GB
 • Display: IPS LCD, 6.78 inches
 • Camera: Quad 16 MP, 2 MP, 2 MP, QVGA
 • OS: Android 10

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.5 3.3 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 6 / 10
 • Uwezo 6 / 10
 • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Hot 9

Simu Nzuri za Infinix Unazoweza Kununua kwa Sasa
TZS 370,000
Version: Infinix Hot 9
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (4x1.8 GHz Cortex-A53 & 4x1.4 GHz Cortex-A53)
 • RAM: 3/4 GB
 • Storage: 64/128 GB
 • Display: IPS LCD, 6.6 inches
 • Camera: Quad 16 MP, 2 MP, 2 MP, 0.3 MP
 • OS: Android 10.0

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

7.0 3.5 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 7 / 10
 • Uwezo 6 / 10
 • Chaji 8 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Hot 9 Play

Simu Nzuri za Infinix Unazoweza Kununua kwa Sasa
TZS 390,000
Version: Infinix Hot 9 Play
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (4x1.8 GHz Cortex-A53 & 4x1.5 GHz Cortex-A53)
 • RAM: 3/4 GB
 • Storage: 32/64 GB
 • Display: IPS LCD, 6.82 inches
 • Camera: Dual 13 MP, QVGA
 • OS: Android 10.0

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.5 3.3 119
 • Muundo 6 / 10
 • Kamera 6 / 10
 • Uwezo 6 / 10
 • Chaji 8 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Hot 9 Pro

Simu Nzuri za Infinix Unazoweza Kununua kwa Sasa
TZS 390,000
Version: Infinix Hot 9 Pro
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core 2.0 GHz Cortex-A53
 • RAM: 4 GB
 • Storage: 64 GB
 • Display: IPS LCD, 6.6 inches
 • Camera: Quad 48 MP, 2 MP, 2 MP, 0.3 MP
 • OS: Android 10.0

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

7.3 3.7 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 7 / 10
 • Uwezo 7 / 10
 • Chaji 8 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Note 7 Lite

Simu Nzuri za Infinix Unazoweza Kununua kwa Sasa
TZS 300,000
Version: Infinix Note 7 Lite
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (2x2.0 GHz Cortex-A75 & 6x1.7 GHz Cortex-A55)
 • RAM: 4 GB
 • Storage: 64/128 GB
 • Display: IPS LCD, 6.6 inches
 • Camera: Quad 48 MP, 8 MP, 2 MP, QVGA
 • OS: Android 10.0

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.8 3.4 119
 • Muundo 6 / 10
 • Kamera 7 / 10
 • Uwezo 6 / 10
 • Chaji 8 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Note 7

Simu Nzuri za Infinix Unazoweza Kununua kwa Sasa
TZS 420,000
Version: Infinix Note 7
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (2x2.0 GHz Cortex-A75 & 6x1.7 GHz Cortex-A55)
 • RAM: 6 GB
 • Storage: 128 GB
 • Display: IPS LCD, 6.95 inches
 • Camera: Quad 48 MP, 2 MP, 2 MP, VGA
 • OS: Android 10

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

7.0 3.5 119
 • Muundo 6 / 10
 • Kamera 7 / 10
 • Uwezo 7 / 10
 • Chaji 8 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix S5 Pro

Simu Nzuri za Infinix Unazoweza Kununua kwa Sasa
TZS 450,000
Version: Infinix S5 Pro
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (4x2.3 GHz Cortex-A53 & 4x1.8 GHz Cortex-A53)
 • RAM: 6/4 GB
 • Storage: 64/128 GB
 • Display: IPS LCD, 6.53 inches
 • Camera: Triple 48 MP, 8 MP, QVGA
 • OS: Android 10.0

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

7.3 3.7 119
 • Muundo 8 / 10
 • Kamera 7 / 10
 • Uwezo 7 / 10
 • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix S5 Lite

Simu Nzuri za Infinix Unazoweza Kununua kwa Sasa
TZS 270,000
Version: Infinix S5 Lite
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core CPU (4x2.0 GHz Cortex-A53 and 4x1.5 GHz Cortex-A53)
 • RAM: 6/4 GB
 • Storage: 32/64 GB
 • Display: IPS LCD, 6.6 inches
 • Camera: Triple 16 MP, 2 MP, QVGA
 • OS: Android 9.0 (Pie)

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

5.9 3.0 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 6 / 10
 • Uwezo 6 / 10
 • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix S5

Simu Nzuri za Infinix Unazoweza Kununua kwa Sasa
TZS 360,000
Version: Infinix S5
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core CPU (4x2.0 GHz Cortex-A53 and 4x1.5 GHz Cortex-A53)
 • RAM: 6/4 GB
 • Storage: 64/128 GB
 • Display: IPS LCD, 6.6 inches
 • Camera: Quad 16 MP, 5 MP, 2 MP, QVGA
 • OS: Android 9.0 (Pie)

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.5 3.3 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 6 / 10
 • Uwezo 6 / 10
 • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Hot 8

Simu Nzuri za Infinix Unazoweza Kununua kwa Sasa
TZS 370,000
Version: Infinix Hot 8
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core 2.0 GHz
 • RAM: 4 GB
 • Storage: 64 GB
 • Display: IPS LCD 6.5 Inch
 • Camera: Triple 13 MP, 2 MP, 2MP
 • OS: Android 9.0 (Pie)

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.8 3.4 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 7 / 10
 • Uwezo 6 / 10
 • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Note 6

Simu Nzuri za Infinix Unazoweza Kununua kwa Sasa
TZS 550,000
Version: Infinix Note 6
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-core (4x2.35 GHz Cortex-A73 & 4x2.0 GHz Cortex-A53)
 • RAM: 4/6 GB
 • Storage: 64 GB
 • Display: AMOLED, 6.1 inches
 • Camera: Triple 16 MP, 8 MP, 2 MP
 • OS: Android 9.0 (Pie)

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.6 3.3 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 7 / 10
 • Uwezo 7 / 10
 • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Zero 6 Pro

Simu Nzuri za Infinix Unazoweza Kununua kwa Sasa
TZS 750,000
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Octa-Core 2.2GHz
 • RAM: 6 GB
 • Storage: 128 GB
 • Display: IPS LCD, 6.2 inches
 • Camera: Double 12 MP, 24 MP
 • OS: Android 8.1 (Oreo)

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.5 3.3 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 8 / 10
 • Uwezo 7 / 10
 • Chaji 7 / 10

Soma Zaidi Hapa

Infinix Hot 7

Simu Nzuri za Infinix Unazoweza Kununua kwa Sasa
TZS 350,000
Version: Infinix Hot 7
Brand: Infinix
Category: Simu Mpya
Linganisha
 • CPU: Quad-core 1.3 GHz Cortex-A7 (32nm)
 • RAM: 1/2 GB
 • Storage: 32 GB
 • Display: IPS LCD 6.2 Inch
 • Camera: 13 MP
 • OS: Android 8.1 (Oreo)

Maoni Yetu

Maoni yetu baada ya kuchambua simu

6.0 3.0 119
 • Muundo 7 / 10
 • Kamera 6 / 10
 • Uwezo 5 / 10
 • Chaji 6 / 10

Soma Zaidi Hapa

Na hizo ndio simu nzuri za Infinix Unazoweza kununua kwa sasa, kumbuka simu hizi zinapatikana kote Tanzania na unaweza kuzinunua kwa mawakala wa Infinix au kwenye maduka mbalimbali ya Infinix. Mbali na hayo kama wewe ni mpenzi wa simu za TECNO unaweza kusoma hapa kujua simu nzuri za TECNO unazoweza kununua kwa sasa.

Kama unataka kujua zaidi kuhusu simu mpya hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania tech kila siku tutakuletea habari za simu zote mpya zinazotoka kila siku.

Tanzania Tech
Logo