Njia Mpya ya Kutumia Keyboard ya Simu Yako (Android)

Utaweza kurekebisha maneno unayo kosea kwa urahisi na haraka kupitia njia hii
Njia Mpya ya Kutumia Keyboard ya Simu Yako (Android) Njia Mpya ya Kutumia Keyboard ya Simu Yako (Android)

Kama wewe ni mtumiaji wa smartphone yoyote wazi kuwa umeasha zoea kuandika meseji kwa kutumia keyboard ya simu yako. Lakini ni wazi kuwa inawezekana hadi leo hujajua kama zipo njia nyingine za kutumia keyboard ya simu yako kwa urahisi na haraka.

Kupitia makala hii nitakuonyesha njia nyingine rahisi ya kutumia keyboard ya simu yako, hasa kwenye sehemu ya Spacebar ambayo mara nyingi hutumika kutenganisha neno moja na lingine wakati unaandika kitu chochote kupitia smartphone yako.

Basi bila kupoteza muda moja kwa moja twende nikuonyesha kazi nyingine ya Spacebar kwenye simu yako ya Android.

Advertisement

Kwa kufuata maelezo hapo juu bila shaka sasa umepata njia nyingine rahisi ya kutumia Spacebar kwenye simu yako ya Android, ikiwa pamoja na njia ya kurekebisha maneno kwa haraka na urahisi.

Kama unataka kujifunza zaidi unaweza kusoma hapa kujua kuhusu settings za muhimu ambazo ulkuwa uzijui kwenye simu yako ya Android.

Kama unataka kujua kuhusu simu mpya unaweza kutembelea ukurasa huu hapa, utapata habari zote kuhusu simu mpya pamoja na kompyuta.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use