in

Jinsi ya Kuondoa Background Kwenye Picha Bila App Yoyote

Ondoa background kwenye picha zako kwa urahisi zaidi

Jinsi ya Kuondoa Background Kwenye Picha Bila App Yoyote2:49

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao hutumia muda mwingi kuedit picha zako basi leo nimekuandalia maujanja rahisi sana ambayo unaweza kutumia kuweza kuondoa background kwenye picha zako bila kutumia programu yoyote.

Njia hii ni rahisi sana na uhitaji kuwa na ujuzi wowote bali unacho hitaji ni kuwa na simu yako au kuwa na kompyuta. Pia unahitaji kuwa na Internet ambayo najua unayo ndio maana unaweza kusoma maujanja haya. Basi kama unavyo vitu vyote hivi sasa unaweza kuangalia video fupi hapo chini ambayo itakuonyesha kwa vitendo maujanja yote haya.

Kama umeangalia video hapo juu basi ni imani yangu unaweza kufanya hatua hizo fupi za kuweza kuondoa Background kwenye picha zako kwa urahisi. Unaweza kupata Link zote zilizo zungumziwa kwenye video hapo juu kwa kubofya hapo chini.

Link Maalum

  • Tovuti ya kuondoa background kwenye picha zote  – Bofya Hapa 

Hayo ndio maujanja niliyo waandalia kwa siku ya leo, kama una maswali au kama kuna mahali ambapo hujaelewa unaweza kutuandikia kupitia sehemu ya maoni hapo chini. Kwa maujanja unaweza kusoma hapa, pia endelea kutembelea Tanzania Tech kila siku.

Aina Tatu za Telegram Bots Bora, Jaribu Kupitia Telegram

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

2 Comments