Fahamu Kuhusu RAM ya Ziada Kwenye Simu za Infinix NOTE 11

Mbali ya kuwa na RAM ya GB 8 simu hizi pia zinakuja na RAM ya Ziada
Fahamu Kuhusu RAM ya Ziada Kwenye Simu za Infinix NOTE 11 Fahamu Kuhusu RAM ya Ziada Kwenye Simu za Infinix NOTE 11

RAM siku hizi imekuwa feature ya muhimu kutokana na program nyingi kwenye simu za kisasa kuhitaji nguvu kubwa ya uendeshaji.

Simu mpya za kama aina ya Infinix NOTE 11 Pro yenye 8GB RAM itaweza kuwa na uwezo wa kuruhusu kuongezeka RAM hadi 5GB kwa kugusa kitufe tu inatoka 8GB RAM na kuwa 13GB RAM (8GB RAM+5GB RAM = 13GB RAM).

Haya ni mapinduzi ya kitekinolojia ambapo sasa utaweza kutumia Applications nyingi kwa wakati mmoja bila kumaliza chaji ya simu haraka wala kustaki, Kuongezeka kwa RAM kutakusaidia kuweza kufungua Apps nyingine kwa wakati mmoja kwa kasi kutoka 802ms mpaka 307ms ambapo kasi imeongezeka kwa asilimia 61%.

Advertisement

Fahamu Kuhusu RAM ya Ziada Kwenye Simu za Infinix NOTE 11

Utendaji wa RAM wa NOTE 11Series unapatikana kwenye Infinix NOTE11 Pro / NOTE 11.

Kwa kuwasha RAM Iliyoongezwa, simu inaweza kupakia games kwa kasi na kuhakikisha kuwa watumiaji wanaweza kuanza mchezo mara moja, hata ikiwa utabadili na kufungua programu nyingi.

Hizi hapa hatua nne za kufuata kuongeza RAM kwenye simu za NOTE 11Series.

  • 1️Click Setting
  • 2️Find Special Function
  • 3️⃣ Tap MemFusion
  • 4️⃣  Turn on MemFusion and choose how much RAM you want to add
  • 5️⃣ Restarting to make it run

Fahamu Kuhusu RAM ya Ziada Kwenye Simu za Infinix NOTE 11

Infinix Imekuwa ikija na kuanzisha teknolojia kubwa na  mpya kwenye simu zake na bado simu zake zimekuwa zikiuzwa kwa bei rafiki, RAM kuogezeka ni moja ya teknolojia ambayo Infinix wamepanga kuifanya endelevu kwa simu zote zijazo.

Kwa maelezo zaidi tembelea kurasa za Infinix Tanzania kupata ufafanuzi zaidi.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use