in ,

Jinsi ya Kufungua Samsung Galaxy A32 Hatua kwa Hatua

Hatua kwa hatua jinsi ya kufungua Galaxy A32

Jinsi ya Kufungua Samsung Galaxy A32 Hatua kwa Hatua
©PBKreviews YouTube

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanataka kufungua simu yako ya Galaxy A32 kwa sababu yoyote basi makala hii ni kwa ajili yako. Kupitia makala hii ya video natumaini itaweza kusaidia kufahamu jinsi ya kufungua simu yako hii kama inakulazimu kufanya hivyo.

Kumbuka kuwa kufungua simu yako kunaweza kuharibu warranty ya simu yako hivyo ni muhimu kupeleka simu yako kwenye idara husika za warranty ili kutengeneza simu yako kupitia wataalamu kutoka kampuni husika.

Basi baada ya kusema hayo moja kwa moja twende kwenye makala hii. Kwa kuanza hakikisha unakuwa na vifaa vifuatavyo.

Jinsi ya Kufungua Samsung Galaxy A32 Hatua kwa Hatua

Unaweza kupata vifaa hivi kupitia tovuti ya iFixit kwa gharama ya hadi TZS 250,000 kwa pack nzima. Unaweza kununua vifaa hivi kupitia Amazon pia na utawezeshwa kwa urahisi kupata vifaa hivi kupitia tovuti ya Easy Africa Buy, unaweza kuwasiliana nao watakusaidia jinsi ya kupata vifaa hivi. Kumbuka gharama zinaweza kushuka au kuongezeka.

Baada ya kuwa na vifaa hivi moja kwa moja unaweza kuendelea kwa kufuata hatua kwenye video hapo chini. Ni rahisi na haraka.

Tumia Simu Kama Mic Bila Kutumia App Yoyote

Kwa kufuata hatua hizi na uhakika utakuwa unaweza kufungua simu yako ya Galaxy A32, kama unataka kuona zaidi video za aina hii unaweza kufuata channel husika, pia unaweza kufuata channel yetu hapa kupata ujuzi wa mambo menhi zaidi yanayohusu teknolojia.

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.