Pre-Oder Leo Infinix Note 10 na Note 10 Pro Kuanzia TZS 50,000

Kwa mujibu wa Infinix, unaweza kutanguliza kiasi cha TZS 50,000 kwanza
Pre-Oder Leo Infinix Note 10 na Note 10 Pro Kuanzia TZS 50,000 Pre-Oder Leo Infinix Note 10 na Note 10 Pro Kuanzia TZS 50,000

Infinix NOTE 10 na NOTE 10 Pro kuzinduliwa 4/6/2021 na moja kati ya ofa ni punguzo la bei kwa wateja wa awali pre-order sasa naomba ufahamu hili kuhusu kampuni ya simu za mkononi Infinix wakisema ni muendelezo wa toleo la Infinix NOTE basi wanamaanisha maana kila kitu ni kipya, kwani Infinix NOTE 10 na NOTE 10 Pro ni balaa jipya mjini.

Nilipata nafasi ya kutembelea tovuti ya Price in Tanzania na tovuti mbalimbali zenye kuandika kuhusu simu mpya zitakazo ingia sokoni hivi karibuni na Infinix NOTE 10 na NOTE 10 pro ni moja kati ya simu yenye kupewa sifa nyingi kutokana na mapinduzi mengi yaliyofanyika kwenye simu hiyo.

Pre-Oder Leo Infinix Note 10 na Note 10 Pro Kuanzia TZS 50,000

Advertisement

Kuanzia nyuma kuwa na kamera 4 ambapo kamera kuu ni MP 64 hadi selfie ya MP 48 yenye teknolojia iliyotumiaka kwenye camera hizi kuzifanya NOTE 10 na NOTE 10 Pro kuweza kuchukua picha nyakati zote iwe katika hali ya mtikisiko, jua kali, kiza, mawimbi n.k.

Infinix NOTE 10 na NOTE 10 Pro kuja na ukubwa wa memory ya ndani ya GB128 na Ram ya GB 8. Mtumiaji wa Infinix NOTE 10 hatohitaji memory ya ziada kutokana na nafasi kubwa ya kuhifadhi kumbukumbu iliyopo kwenye Infinix NOTE 10.

Vile vile teknolojia ya 90Hz inayopatikana kwenye kioo cha Infinix NOTE 10 inasaidia kila baada ya matumizi kioo cha Infinix NOTE 10 kujirefreshi na kupelekea simu kurespond kwa haraka pale tu unapotaka kuperuzi au kufungua application yoyote.

Infinix NOTE 10 kuja na mAh 5000 za battery haina haja yakuzima data ili kuepuka kuishiwa chaji ujazo wa mAh 5000 na kasi ya processor ya G95 inafanya matumizi ya battery kuwa madogo niwakati wetu sasa kuifanya NOTE 10 kuwa na matumizi ya ziada kama ya kiofisi, kibiashara na si iwe kwa kupiga tu na kuperuzi mtandaoni.

Ofa ya Infinix Note 10 na Note 10 Pro

Pre-Oder Leo Infinix Note 10 na Note 10 Pro Kuanzia TZS 50,000

Kwa mujibu wa Infinix, unaweza kutanguliza kiasi cha sh.50,000 ambapo tarehe 7/6/2021 utamalizia Tsh.400,000 kwa NOTE 10 na Tsh.550,000 kwa NOTE 10 pro wahi sasa kuepuka kuja kuinunua kwa bei ya juu baada ya uzinduzi 4/6/2021.

Pre-order inafanyika katika maduka ya simu ya Infinix Smart Hub Mlimani City na Kariakoo, vile vile unaweza kutembelea https://www.infinixmobility.com/, @infinixmobiletz au piga nambari ya simu 0744606222 kwa maelezo zaidi.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use