in

Kampuni ya TECNO Kudumisha Upendo na Wateja Wake

Wateja wa TECNO Kushiriki chakula kwenye Hotel ya nyota 5 ya SERENA HOTEL

Kampuni ya TECNO Kudumisha Upendo na Wateja Wake

Katika kusherekea msimu huu wa sikukuu ya VALENTINES kampuni ya simu pendwa TECNO yazindua promosheni kabambe, aidha promotion hii itahusisha kwenda kupata chakula cha usiku katika hotel kubwa ya nyota tano SERENA HOTEL kwa mteja atakayenunua TECNO Spark 5 pro katika msimu huu wa Valentine.

Kampuni ya TECNO Kudumisha Upendo na Wateja Wake

Ni vipi unaweza kupata nafasi hiyo? tembelea maduka ya TECNO jipatie TECNO spark 5 pro na moja kwa moja utakua umeingia katika droo, lakini vile vile kwa upande wa online unaweza kushirika kwa kupost picha ya umpendae na kuisindikiza na ujumbe unaoashiria upendo kisha weka #letlovelead.

Akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi huo Meneja wa Mauzo Mariam Mohamed amesemea kwamba, “promosheni hii inalenga kuimarisha upendo na wateja wetu una kuwaonyesha ni kwa namna gani tunawajali na kuwathamini lakini pia kuwafanya watambue kama wao pia ni wanafamilia wa TECNO.    

Kampuni ya TECNO Kudumisha Upendo na Wateja Wake                                                       
Spark 5 pro ni simu yenye kioo kipana cha inch 6.6, Spark 5 pro inakupa nafasi ya kuchukua picha kwa ukubwa zaidi kutoka na kuwa na wigo mpana wa kioo vilevile ina MP16 nyuma na selfie MP 8, memory kubwa GB64 + GB3 RAM na battery yenye kudumu na chaji kwa muda mrefu mAh 5000.

Muundo Wa Infinix Zero Ultra 3D Curved Washangaza Wengi

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.