in

Angalia Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya ya LG Wing

Simu ya kwanza kutoka LG inayojikunja kwa staili ya aina yake…

Angalia Mubashara Uzinduzi wa Simu Mpya ya LG Wing

Kampuni ya LG nayo kwa mara ya kwanza inatangaza simu yake ya kwanza yenye kioo cha kisasa simu mpya ya LG Wing. Simu hii ni tofauti sana na simu nyingi kama unavyoweza kuona kwenye uzinduzi wa simu hii hapo chini.

Kampuni ya Infinix Kumalizia Mwaka na Simu Mpya ya Note
Amani Joseph

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Avatar

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.