Jinsi ya Kuwasha Taa kwa Umeme wa Sumaku Pamoja na Mota

Jifunze hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza umeme rahisi kwa kutumia sumaku
Jinsi ya Kuwasha Taa kwa Umeme wa Sumaku Pamoja na Mota Jinsi ya Kuwasha Taa kwa Umeme wa Sumaku Pamoja na Mota

Ni wazi kuwa zipo njia nyingi sana unazoweza kuzitumia kuweza kutengeneza umeme ambao utakusaidia kwa matumizi mbalimbali, kwenye makala iliyopita tuliangalia jinsi ya kutengeneza umeme wa kuchaji simu kwa kutumia Malimao na leo tunaenda kuangalia jinsi ya kutengeneza umeme wa kuwasha taa kwa kutumia mota na sumaku.

Mahijitaji

Kumbuka Mota ambayo hutumika hapa sio mota ya kawaida bali hii ni DC mota, mota hizi zinapatikana na unaweza kuinunua kwenye maduka ya eletroniki hapa Tanzania. Pia unahitaji kuwa na spika pamoja na sumaku mbili zile ambazo zinazotoka kwenye mota yani zile sumaku A na B ambazo hua zimejikunja kidogo kama C. Pia unahitaji foil na unahitaji battery moja yenye chaji pamoja na Super clue ya kutosha pamoja na waya, bila kusahau mbao yenye urefu wa nusu sent mita na upana wa inch moja.

Kama unavyo vyote hivyo sasa twende tukajifunze hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza umeme wa kuwasha taa kwa kutumia mota pamoja na sumaku.

Advertisement

Je unaonaje maujanja haya, je ungependa kuendelea kupata maujanja kama haya kupitia hapa Tanzania Tech, Tuambie kupitia sehemu ya maoni hapo chini nasi tutafanyia kazi ushauri wako mara moja. Kwa maujanja zaidi hakikisha unaendelea kutembelea Tanzania Tech kila siku au tembelea kwenye kipengele cha Maujanja.

4 comments
  1. Kwa kweli nimependa kujua vitu mbalimbali kuusiana techji mbalikiwe sana maana hivi tu nilivyo viona natalajia kuvifanyia practiko

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use