in

Hizi Hapa Video Zilizo-angaliwa Sana Youtube Mwaka 2017

Ziangalie hapa hizi hapa ndio video bora youtube kwa mwaka 2017

Hizi Hapa Video Zilizo-angaliwa Sana Youtube Mwaka 2017

Hivi leo mtandao wa YouTube umetangaza video kumi 10 ambazo zimeangaliwa sana kwa mwaka huu 2017, mwaka jana 2016 tumeona video ya Adele Carpool Karaokee ikiwa namba moja kwa kuwa na idadi ya watu walio angalia zaidi ya 136,821,649.

Wakati tukielekea mwisho wa mwaka 2017, hii hapa ndio list kamili ya video kumi (10) ambazo zimeangaliwa sana kupitia mtandao wa YouTube, usiache kuangalia video namba 2, 3 pamoja na video namba 7.

Kwa mujibu wa Youtube, Hizi ni video 10 bora zilizoangaliwa sana na list hii haihusishi video za muziki.

10. Children interrupt BBC News interview BBC News – Views 25,053,463

9. In a Heartbeat – Animated Short Film – 31,998,001 Views

8. history of the entire world, i guess – 35,099,356 views

7. “INAUGURATION DAY” A Bad Lip Reading of Donald Trump’s Inauguration – 35,067,309 views

6.  Lady Gaga’s FULL Pepsi Zero Sugar Super Bowl LI Halftime Show | NFL – 37,132,413 views

5. Ed Sheeran Carpool Karaoke – 39,884,128 views

4. Darci Lynne: 12-Year-Old Singing Ventriloquist Gets Golden Buzzer – 41,561,859 views

3. Ping Pong Trick Shots 3 | Dude Perfect – 93,492,244 views

2. ED SHEERAN – Shape Of You | Kyle Hanagami Choreography – 119,030,069 views

1. Until We Will Become Dust – Oyster Masked (ตราบธุลีดิน – หน้ากากหอยนางรม) – 182,137,611 views

Kwa habari zaidi za teknolojia hakikisha una download App yetu mpya ya Tanzania Tech kupitia Play Store na vilevile tembelea channel yetu ya Tanzania Tech kupitia Youtube ili uweze kujifunza zaidi mambo yote ya teknolojia kwa njia ya Video.

Madhara ya Usalama Sababu ya Kusahau Kuzima Bluetooth

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

2 Comments