Simu Mpya za Tecno Phantom 6 na Phantom 6 Plus Zazinduliwa

Wapenzi wa Simu za Tecno Hizi ndio simu mpya za Tecno Phantom 6 pamoja na Phantom 6 Plus
Phantom 6 plus Phantom 6 plus

Kwa wapenzi wote wa simu za Tecno duniani jana waliungana kwenye tamasha la uzinduzi wa simu mpya za Tecno Phantom 6 pamoja na Phantom 6 Plus ambazo zilizinduliwa rasmi jana huko Dubai.

Simu hizo ambazo zimezinduliwa kwa matoleo mawili ya Tecno phantom 6 na Phantom 6 plus pingine ndio simu bora kuliko simu nyingine kutoka kampuni hiyo ya china ambayo jana iliamua kuanza kuuza simu zake hizo nje ya mipaka ya Africa. Hata hivyo Simu hizo ambazo zimekuja zikiwa zimeboresha zaidi ya simu zile za mwaka jana za Tecno Phantom 5 ni moja kati ya simu zenye Muundo wa kisasa wenye kutimiza vingezo vya kuuzwa kwenye masoko ya kimataifa, zifuatazo ni sifa za simu hizo mpya za Tecno Phantom 6 na Phantom 6 Plus.

Advertisement

TECNO PHANTOM 6

  • Network: 2G, 3G, 4G LTE.
  • Design: Nano-Molded metal body.
  • Dimension: 151.5 x 75.5 x 6.15mm.
  • Display: 6.0-inch Amoled with 1920 x 1080 Pixels screen resolution and 420 PPI.
  • Sim Count & Type: Dual Micro Sim.
  • Operating System: Tecno HiOS based on Android 6.0 Marshmallow.
  • Processor: 2.0GHz Helio X20 Octa-core Mediatek Chipset.
  • GPU: Mali-T860 GPU.
  • Memory: 3GB RAM, 32GB Internal memory and Sd card slot up to 128GB.
  • Rear Camera: 13MP AF & 5MP Sony IMX Dual Back Camera with autofocus and dual LED flash.
  • Front-Facing Camera: 8MP with soft flash.
  • Battery: Non removable 2700 mAh.
  • Security: Iris Scanner 2.0.
  • Colors: Champagne Gold.
  • USB: Type-C Light Speed Charge.
  • Bei : 899 AED, #80,000 Naira, Ksh. 17,499.
  • Mahali Pakununua: Konga and Jumia.

TECNO PHANTOM 6 PLUS

  • Network: 2G, 3G, 4G LTE.
  • Design: Full metal body.
  • Dimension: 160.35 x 83.46 x 7.7mm.
  • Display: 5.5-inch FHD with 1920 x 1080 Pixels screen resolution and 420 PPI.
  • Sim Count & Type: Dual Micro Sim.
  • Operating System: Tecno HiOS based on Android 6.0 Marshmallow.
  • Processor: 2.0GHz Helio X20 Deca-core Mediatek Chipset.
  • GPU: Mali-T860 GPU.
  • Memory: 4GB RAM, 64GB Internal memory. Hybrid Sim setup (two sims or one and external card.
  • Rear Camera: 21MP AF Sony IMX Back Camera with Dual Flash.
  • Front-Facing Camera: 8MP with soft flash.
  • Battery: Non removable 4050 mAh.
  • Security: Finger print scanner, Iris Scanner 2.0.
  • Colors: Champagne Gold.
  • USB: Type-C Light Speed Charge.
  • Bei: 1099 AED, #100,000 Naira, Ksh. 22,000.
  • Mahali Pakununua: Konga and Jumia.

Kufuatilia habari za teknolojia kila siku endelea kutembelea blog ya tanzania tech kila siku au unaweza kupata habari zote za teknolojia moja kwa moja kwenye simu yako ya mkononi kwa ku-download App ya Tanzania tech  moja kwa moja kwenye simu yako ya Android, pia unaweza kujiunga nasi kwa barua pepe pamoja na mitandao yetu ya kijamii ya Facebook, Twitter, Instagram pamoja na Yotube kwa kujifunza mambo mbalimbali ya teknolojia kwa njia ya video.

3 comments
  1. Naitwa boaz samahni nahitaji kujua simu hizi za tecno phantom zinapatikana wapi na kwa bei zipi kwa hapa tanzania

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use