“Vivo” Simu ya Kwanza Yenye Ulinzi wa Fingerprint kwenye KiooUtaweza kufungua simu hiyo ya Vivo kwa kugusa juu ya kioo cha simu hiyo
Kutana na “Project Linda” Badili Simu ya Razer Phone Kuwa LaptopUtaweza kubadili simu hiyo ya Razer Phone kuwa Laptop
Sony Yazindua Simu Mpya za Xperia XA2, XA2 Ultra na L2Hatimaye Sony imerudi tena mwaka huu na simu hizi zenye ubora wa kamera
Kampuni ya Acer Yazindua “Swift 7” Laptop Nyembamba Kuliko ZoteMbali na kuwa laptop nyembamba, haiuzi bei rahisi inaanzia dollar $1,699
Kutana na “The Wall” TV ya Inch 146 Kutoka Kampuni ya SamsungUnaweza kunganisha TV nyingi kuweza kutengeneza TV ya ukubwa unaotaka
Kampuni ya LG Yazindua TV ya Inch 65 Inayo Kunjika Kama KaratasiTV hiyo mbali na kukunjika kama karatasi lakini inatumia teknolojia ya 4K
LG Yatangaza TV ya Kwanza ya Inch 88 Yenye Teknolojia ya 8KMwanzo wa mwaka LG imeanza na TV kubwa kuliko zote duniani