Video 10 Zilizo Angaliwa Zaidi YouTube Mwaka 2020

Hizi ndio video zenye views nyingi kuliko video zote hadi sasa mwaka 2020
Video 10 Zilizo Angaliwa Zaidi YouTube Mwaka 2020 Video 10 Zilizo Angaliwa Zaidi YouTube Mwaka 2020

Wakati tukiwa tunahesabu wiki kadhaa hadi kumaliza mwaka 2020, sasa ni muda wa kuanza kuhesabu zile 10 bora za mambo mbalimbali kama ilivyo utaratibu wetu hapa Tanzania tech.

Kwa siku ya leo nimekuletea list ya video kumi (10) ambazo zimeangaliwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube hadi sasa mwaka 2020. Video hizo ni zile ambazo zina jumla ya view nyingi zaidi kuliko video nyingine kwenye mtandao wa YouTube hadi sasa.

Basi bila kuendelea kupoteza muda wako zaidi moja kwa moja twende kwenye list hii.

Advertisement

  1. Baby Shark Dance – Pinkfong Kids’ Songs & Stories – Views Bilioni 7.39 hadi sasa
  2. Luis Fonsi – Despacito ft. Daddy Yankee – Views Bilioni 7.09 hadi sasa
  3. Ed Sheeran – Shape of You [Official Video]Views Bilioni 5.10 hadi sasa
  4. Wiz Khalifa featuring Charlie Puth – See You Again  – Views Bilioni 4.85 hadi sasa
  5. Masha and The Bear – Recipe For DisasterViews Bilioni 4.38 hadi sasa
  6. Johny Johny Yes Papa –  LooLoo KidsViews Bilioni 4.37 hadi sasa
  7. Mark Ronson – Uptown Funk (Official Video) ft. Bruno MarsViews Bilioni 4.03 hadi sasa
  8. Gangnam Style – PsyViews Bilioni 3.88 hadi sasa
  9. Learn colors Colorful eggs on the farm – Miroshka TVViews Bilioni 3.66 hadi sasa
  10. Justin Bieber – SorryViews Bilioni 3.37 hadi sasa

Na hizo ndio video zilizo angaliwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube hadi sasa mwaka 2020, kumbuka video hizo ndio zinazo ongoza kwa kuwa na views nyingi hadi sasa disemba 7 mwaka 2020.

Kwa sasa bado tunasubiri list ya video zilizo angaliwa zaidi kwa Tanzania, endelea kutembelea Tanzania tech tutakujulisha pindi tutakappo ipata list hiyo kutoka kwenye vyanzo rasmi.

Kama unataka kujikumbusha unaweza kusoma hapa kujua list ya video zilizopendwa zaidi kwenye mtandao wa YouTube kwa mwaka 2019. Hii ni sawa na kusema video zenye like nyingi kupitia mtandao wa YouTube kwa mwaka 2019.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use