in

Jinsi ya Kuuza Bidhaa Kisasa kwa Kutumia App ya WhatsApp

Jifunze hapa hatua kwa hatua jinsi ya kufanya biashara kupitia WhatsApp

fanya bishara kupitia whatsapp

Ni wazi kuwa mitandao ya kijamii imekuwa sehemu muhimu za maisha yetu ya kila siku, Pamoja na hayo mitandao hii pia imekuwa kama sehemu za kutusaidia wengi wetu kuweza kuwafikia wateja kutoka sehemu mbalimbali na kutuwezesha kuuza bidhaa zetu kwa urahisi kabisa bila uhitaji wa kuwa na sehemu maalum.

Kuliona hili leo nimewaletea maujanja ya jinsi ya kuuza bidhaa kisasa kupitia app ya WhatsApp. Kama wewe unalo group la WhatsApp au WhatsApp ya biashara basi njia hii itakusaidia sana sana sana na ni uhakika kuwa ukitumia njia hii vizuri basi utaweza kuona mafanikio yake mara moja. Basi bila kupoteza muda twende tukangalie njia hii..

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Kwa kuanza unatakiwa kuwa na simu ya Android, vilevile unatakiwa kuwa na Data kwenye simu yako angalau hata MB 300 au MB 200, njia hii haitotumia MB zote hizo bali hiyo ni kwaajili tu ya tahadhari simu yako isije kuishia MB kabla ya kumaliza maujanja haya. Basi ukisha hakikisha una MB hizo ingia kwenye soko la Play Store au pakua app hiyo hapo chini kisha fuata maelekezo kwenye video chini yake ni rahisi sanaa

  • QuickSell – WhatsApp Digital Cataloguing and Sales

Kama umefuata maelezo yote hapo juu na hakiki sasa utakuwa unaweza kuuza bidhaa zako kupitia App yako ya WhatsApp kwa njia ya kisasa kabisa. Kama utakuwa una maswali au ushauri au lolote lile basi unaweza kutuandikia kupitia sehemu ya moani hapo chini. Mpaka siku nyingine nakutakia jumamosi njema.

Jinsi ya Kuuza Bidhaa Kisasa kwa Kutumia App ya WhatsApp
Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Pakua Video Reels, Story, Picha za Instagram Bila App Yoyote

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

2 Comments