Muonekano wa Kwanza wa TouchWiz ya Samsung Galaxy Note 7

Huu Ndio Muonekano Mpya wa Samsung Galaxy Note 7
Touchwiz samsung note 7 Touchwiz samsung note 7

Video mpya imetokeza mtandaoni ikiwa inaonyesha muonekano mpya wa mfumo wa uendeshaji wa simu ya Samsung Note 7 mfumo huo maarufu kwa jina la (TouchWiz) unasemekana ndio utakao tumika katika simu hiyo mpya ya Samsung Note 7 ambayo inayo tarajiwa kutoka Mwezi August mwaka huu.

Muonekano huo mpya unasemekana kuwa na sehemu mpya mbalimbali kama vile vibonyezaji vipya vinavyopatikana upande wa juu kabisa kwenye simu nyingi za samsung pia sehemu mpya ya theme (Theme Management) ambayo sasa utapata uwezo wa kubadilisha muonekano wa simu hiyo pindi utakapo taka. Hata hivyo muonekano huo mpya ni sehemu ndogo tu ambayo inatarajiwa kuja kwenye simu hiyo mpya ya Samsung Note 7 hapo mwezi August mwaka huu.

Advertisement

Kama umeipenda hii usisite kulike page yetu ya Facebook pamoja na Twitter ili kupata habari mpya pindi zinapotoka, pia kwa kujifunza mambo mbalimbali kwa vitendo unaweza ku subscribe kwenye Youtube Channel yetu hapa Tanzania tech blog. Pia usisahau kubofya hako ka-LOVE hapo chini ili ku-show love..!!

1 comments
  1.   paulette13 février 2013Les voies de circulation pour piétons, voitures et TPG ont été bien dégagées. Mais que dire des pistes cyclables?! C’est le dépôt à neige! Nettoyons routes et trottoirs et mettons tout ça sur les pistes cyclables!! Hier soir, 20h, 50 cm de neige sur la piste du pont butin, et ce n’est qu’un exl&3eem#82p0; Alors, que doit faire le cycliste? Devenir automobiliste?

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use