“Vivo” Simu ya Kwanza Yenye Ulinzi wa Fingerprint kwenye Kioo Utaweza kufungua simu hiyo ya Vivo kwa kugusa juu ya kioo cha simu hiyo
Kutana na “Project Linda” Badili Simu ya Razer Phone Kuwa Laptop Utaweza kubadili simu hiyo ya Razer Phone kuwa Laptop
Sony Yazindua Simu Mpya za Xperia XA2, XA2 Ultra na L2 Hatimaye Sony imerudi tena mwaka huu na simu hizi zenye ubora wa kamera
Kampuni ya Acer Yazindua “Swift 7” Laptop Nyembamba Kuliko Zote Mbali na kuwa laptop nyembamba, haiuzi bei rahisi inaanzia dollar $1,699
Kutana na “The Wall” TV ya Inch 146 Kutoka Kampuni ya Samsung Unaweza kunganisha TV nyingi kuweza kutengeneza TV ya ukubwa unaotaka
Kampuni ya LG Yazindua TV ya Inch 65 Inayo Kunjika Kama Karatasi TV hiyo mbali na kukunjika kama karatasi lakini inatumia teknolojia ya 4K
LG Yatangaza TV ya Kwanza ya Inch 88 Yenye Teknolojia ya 8K Mwanzo wa mwaka LG imeanza na TV kubwa kuliko zote duniani