Tovuti ya kuuza na kununua

Share this item Shiriki na wengine

Katika ulimwengu wa sasa ni wazi kuwa biashara ya kuuza na kununua inazidi kupanda kwa kasi, kuliona hili leo nimekuletea biashara hii ya kuuza na kununua ambayo unaweza kuifanya kwa urahisi kabisa kwa mtaji mdogo.

Biashara hii itakuwezesha kutengeneza pesa kupitia mtandao kwa kuchukua gharama kidogo kila mtu anapo tumia tovuti yako. Hii inaweza kuwa pale mtu anapoweka Tangazo lake au pale mtu anapoona matangazo kupitia kwenye tovuti yako.

Njia nyingine mbalimbali za kutengeneza pesa ni pamoja na sponsor ambapo mtumiaji ataweza kulipia ili tangazo lake liweze kuonekana juu kabla ya matangazo ya watu wengine.

Tovuti hii ni rahisi kutumia na haitaji kuwa na kompyuta mara baada ya kumaliza kufanya setup. Kupitia biashara hii unaweza kutengeneza kuanzia TZS 100,000 hadi TZS 300,000 kwa siku hii inategemeana sana na Traffic uliyonayo.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi tutakupa ufafanuzi.

Wasiliana Nasi

Please Sign In to contact this author.

More Related Items by TanzaniaTech