Biashara ya Udalali Mtandaoni

Share this item Shiriki na wengine

Kwa sasa biashara ya udalali mtandaoni ni moja kati biashara kubwa sana, biashara hii kwa sasa inafanyia Instagram sana lakini ni wazi kuwa kwa watu wanaofanya biashara hii kupitia mitandao ya kijamii pekee wanakosa mambo mengi sana.

Kwa mfano mtu hawezi kuona nyumba au kiwanja ulichopost muda mrefu hivyo, au pia mtu aweza kutafuta nyumba lilingana na eneo au kodi aliyonayo. Kwa mtumiaji wa mitandao ya kijamii ni lazima kutembelea post zote kwenye akaunti fulani ndipo uweze kupata nyumba au kiwanja ambacho unakitaka.

Kama  huna bando la kufungua picha zote kwenye akaunti ni wazi kuwa hutoweza kupata unachokitaka kwa haraka. Kuliona hili leo nimekuletea biashara hii ya udalali wa nyumba na viwanja ambapo unaweza kutengeneza pesa mtandao kwa urahisi kwa kualika madalali wengine au pia kuruhusu watu kupost nyumba na viwanja vyao na wewe kupata pesa kutokana na matangazo hayo.

Mbali na hayo unaweza kutengeneza pesa kupitia Adsense na utaweza kupata angalau kuanzia dollar 15 kila siku kama unayo  traffic ya kutosha. Unaweza kuangalia mfano hapo juu.

Wasiliana Nasi

Please Sign In to contact this author.

More Related Items by TanzaniaTech