We are always looking for strong passionate writers who are motivated to develop and write engaging content.

Tanzania Tech ni tovuti bora ambayo inakupa mwongozo katika teknolojia ya kisasa. Jifunze jinsi ya kutumia teknolojia na vifaa vilivyo karibu nawe na ugundue mambo mazuri kwenye mtandao.

Tunahitaji

Tunatafuta waandishi ambao wanaweza kuandika makala bora za kina za Teknolojia zenye uwezo wa kusaidia watumiaji na wasomaji wa Tanzania Tech. Tunahitaji mwandishi mwenye uwezo wa kuandika kuhusu moja ya vipengele vilivyomo kwenye tovuti ya Tanzania Tech.

Mambo ya Muhimu Kufahamu

Kuna mambo mawili muhimu juu ya mpango wetu wa wachangiaji:

  • Je! Nitapata sifa kama mwandishi.? – NDIYO
  • Je! Nitalipwa.? – NDIYO

Tuma Maombi

Ikiwa unafikiria unazo sifa na uko tayari kuandika makala bora za kina kuhusu teknolojia basi, tumia leo maombi kupitia fomu hapo chini. Kumbuka: maombi yanaweza kujibiwa kwa muda wa siku 2 za kazi..


[forminator_form id=”46615″]