Njia Nyingine ya Kutengeneza Pesa Kwa Kutumia WhatsApp

Part 2 ya njia ya kuweza kutengeneza pesa mtandaoni kwa kutumia WhatsApp
Njia Nyingine ya Kutengeneza Pesa Kwa Kutumia WhatsApp Njia Nyingine ya Kutengeneza Pesa Kwa Kutumia WhatsApp

Kama wewe ni mmoja wa watu ambao wanafuatilia tovuti ya Tanzania Tech basi lazima unajua kuhusu njia ya kutengeneza pesa mtandaoni kwa kutumia WhatsApp, Sasa njia hii ya leo ni muendelezo wa njia ile ya kwanza na kama unahitaji kujua jinsi ya kutengeneza pesa kwa kutumia WhatsApp basi nakushauri uweze kusoma makala ile ya kwanza kabla ya kusoma makala hii.

Kwa kusoma makala ile utaweza kujua njia zote za jinsi ya kutengeneza pesa kwa urahisi na pia utaweza kuelewa njia hii ya pili kwani njia hizi zote mbili zinategemeana sana.

Advertisement

Kama tayari umeshasoma makala hiyo sasa endelea kwenye njia hii ambayo mimi nimeweza kuitumia kupata zaidi ya dollar $40 ambayo ni takribani Tsh 90,000 za kitanzania, basi bila kupoteza muda twende tukangalie njia hii.

 

10 comments
  1. Maoni ; naomba Ufahamu Please naitwa Emmanuel mnanka +255769141111 maana natamani Sana namimi nitengeneze pesa Tafadhari mtu mmoja mwenye uaminifu anipigie kwa NAMBA hiyo au whatsApp +255769141111 kila la kheri Asante.

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

Pata Habari za Teknolojia Kupita Barua Pepe

By pressing the Subscribe button, you confirm that you have read and are agreeing to our Privacy Policy and Terms of Use