in

Jifunze Kutengeneza Kompyuta Yako kwa Kutumia App Hii

Kama unataka kujifunza namna ya kutengeneza kompyuta yako mwenyewe unaweza kujifunza kwa kutumia app hii

jifunze-kompyuta

Kuna wakati unakuta kompyuta yako imepata tatizo na pengine tatizo lenyewe ni dogo sana na halina hata haja ya kupeleka kwa fundi, lakini kutokana na kutokujua unajikuta unatumia gharama nyingi kutengeneza kitu kidogo sana ambacho hata wewe mwenyewe ungeweza kutengeneza.

Kwa sababu hiyo na zingine nyingi ndio sababu ya kuandika makala hii fupi ya kukusaidia kufanya marekebisho mbalimbali ya kompyuta yako na pengine kuwa mtalamu kabisa wa kutengeneza kompyuta yako mwenyewe hata na zawatu wengine.

Install Android App
Price: Free
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot
  • Nyimbo Mpya Screenshot

Yote haya yanawezekana pale unapokua na simu yako ya mkononi, yaani smartphone baada ya hapo moja kwa moja download programu hiyo hapo chini kisha anza kufuatilia maelekezo yaliyoko kwenye programu hiyo maalum kwa ajili ya Android.

Computer Repair – Android App

Computer Repair
Price: Free

Kama umesha jaribu App hii kwenye simu yako je nini maoni yako tuandikie hapo chini au pia unaweza kujiunga na majadiliano kwenye mitandao yetu ya kijamii ya  Facebook, Twitter na Instagram pamoja na Youtube kama unataka kujifunza mambo mbalimbali ya teknolojia kwa njia ya Video. Pia kama unataka kupata habari zote za teknolojia kwa haraka unaweza kudownload sasa App yetu ya Tanzania tech kutoka Play Store na hivi karibuni itapatikana kupitia App Store.

Jifunze Kutengeneza Kompyuta Yako kwa Kutumia App Hii
Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Apps Muhimu kwaajili ya Mwezi wa Ramadhani (2024)

Written by Amani Joseph

Tanzania Tech tumejikita kuhakikisha hupitwi na habari yoyote ya teknolojia, endelea kuwa nasi tufuate kwenye mitandao ya kijamii.

Toa Maoni Hapa

Kumbuka ni Muhimu Kuandika Jina Halisi na Barua Pepe, Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.

2 Comments